Katika Picha: Mandhari ya magenge kwenye Mto Manjano huko Henan, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 10, 2023
Katika Picha: Mandhari ya magenge kwenye Mto Manjano huko Henan, China
Picha hii iliyopigwa kutoka angani Oktoba 8, 2023 ikionyesha mandhari ya magenge yaliyoko juu ya mkondo wa mradi wa kuhifadhi maji wa Xiaolangdi kwenye Mto Manjano katika Mji wa Jiyuan, Mkoa wa Henan, Katikati mwa China. (Xinhua/Xing Guangli)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha