Mandhari ya mafanikio ya "Ukanda Mmoja, Njia Moja" kutoka picha za angani za droni

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 11, 2023
Mandhari ya mafanikio ya
Hii ni picha ya Daraja la Maputo iliyopigwa kwa droni huko Maputo, mji mkuu wa Msumbiji, Aprili 8, Mwaka 2019. Daraja la Maputo, ni daraja kubwa zaidi la kuning’inia, linaloenea kwenye Ghuba ya Maputo. Daraja hilo kwa kiasi kikubwa linawezesha matumizi ya barabara katika pande zote mbili za ghuba hiyo na limekuwa sehemu ya barabara muhimu ya usafirishaji ya Msumbiji ambayo inatoka kusini hadi kaskazini mwa nchi hiyo na kuunganisha Afrika Kusini.

Mwaka huu unasadifiana na miaka kumi tangu pendekeo la ujenzi wa pamoja wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja" litolewe. Katika miaka kumi iliyopita, ushirikiano chini ya Pendekezo la "Ukanda Mmoja, Njia Moja" umepata mafanikio mengi, na mfululizo wa miradi alama imekamilika kusaidia maendeleo ya nchi mbalimbali na kuleta manufaa halisi kwa watu wa nchi zote. Ikitazamwa kutoka angani, "miradi hii alama ya kitaifa" inaonyesha ukubwa wao na kuwa kadi inayong'aa ya "Ujenzi wa China".

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha