

Lugha Nyingine
Mbio za Marathoni za Xi'an za Mwaka 2023 zafunguliwa (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 30, 2023
![]() |
Mbio za Marathoni za Xi'an za 2023 zikifanyika. Picha kutoka kwa Kamati ya Uendeshaji wa Mbio za Marathoni za Xi'an. |
Leo Jumatatu, Tarehe 29 Oktoba saa 1:30 asubuhi, Mbio za Marathoni za Xi'an za Mwaka 2023 katika Mkoa wa Shaanxi wa China zimeanza rasmi kwa kupigwa mshindo wa kuashiria kuanza kwa mbio hizo katika mlango wa Yongning. Wanariadha zaidi ya 35,000 kutoka sehemu mbalimbali duniani wamekusanyika katika mji huo wenye historia ya miaka mingi wa Xi'an, kwa ajili ya kuhisi kwa kina uzuri wa mji huo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma