Habari Picha: Mandhari ya majira ya Mpukutiko katika Kaunti ya Gongbo'Gyamda mjini Nyingchi, Mkoa wa Tibet, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 30, 2023
Habari Picha: Mandhari ya majira ya Mpukutiko katika Kaunti ya Gongbo'Gyamda mjini Nyingchi, Mkoa wa Tibet, China
Picha hii iliyopigwa angani Oktoba 28, 2023 ikionyesha mandhari ya majira ya mpukutiko ya Ziwa Basum katika Kaunti ya Gongbo'Gyamda iliyoko Mji wa Nyingchi, Mkoa unaojiendesha wa Tibet, Kusini-Magharibi mwa China. (Xinhua/Jiang Fan)
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha