

Lugha Nyingine
Mtaa wa kale wa huduma ya posta wawa kivutio maarufu cha watalii baada ya ukarabati mjini Chongqing, China (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 31, 2023
![]() |
Watalii wakitembelea ofisi ya posta kwenye Mtaa wa Duyou mjini Chongqing, Kusini-Magharibi mwa China Oktoba 29, 2023. (Xinhua/Wang Quanchao) |
CHONGQING - Mtaa wa Duyou ulioko katika Mji wa Chongqing, Kusini-Magharibi mwa China, ambao ni mtaa wa kale uliopewa jina la usimamizi wa huduma ya posta katika Enzi ya Qing (1644-1911) ya China, umekarabatiwa na kuwa kivutio maarufu cha watalii chenye sifa na umaalum wa utamaduni wa posta.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma