Kazi ya maandalizi ya Maonyesho ya 6 ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yaingia hatua ya mwisho (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 03, 2023
Kazi ya maandalizi ya Maonyesho ya 6 ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yaingia hatua ya mwisho
Picha hii iliyopigwa Novemba 2, 2023 ikionyesha banda la Eneo Maalum la kuonesha uchumi wa kidigitali wa kimataifa lililoandaliwa kwa ajili ya Maonyesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) mjini Shanghai, Mashariki mwa China, Novemba 2, 2023. (Xinhua/Wang Xiang)

Maonyesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yamepangwa kufanyika mjini Shanghai, China kuanzia Novemba 5 hadi 10. Kazi ya maandalizi katika Kituo cha Kitaifa cha Mikutano na Maonyesho cha Shanghai imeingia hatua ya mwisho.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha