

Lugha Nyingine
Picha: Barabara Kuu ya Wuxi-Zhenping inayojengwa katika Mkoa wa Shaanxi, Kaskazini Magharibi mwa China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 03, 2023
![]() |
Picha hii iliyopigwa kutoka angani Novemba 1, 2023 ikionyesha sehemu ya eneo la ujenzi wa Barabara Kuu ya Wuxi-Zhenping katika Mkoa wa Shaanxi, Kaskazini Magharibi mwa China. (Xinhua/Shao Rui) |
Ikiunganisha Wilaya ya Zhenping ya Mkoa wa Shaanxi na Wilaya ya Wuxi ya Mji wa Chongqing, Kusini Magharibi mwa China, Barabara Kuu ya Wuxi-Zhenping yenye urefu wa kilomita 48.7 inatarajiwa kuanza kutumika rasmi kabla ya Siku ya Mwaka Mpya wa 2024.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma