

Lugha Nyingine
Kivuko cha Alataw mkoani Xinjiang, China chashughulikia treni zaidi ya 30,000 za kwenda Asia ya Kati au Ulaya (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 08, 2023
![]() |
Picha hii iliyopigwa Novemba 5, 2023 ikionyesha Kivuko cha Alataw kilichoko Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, Kaskazini-Magharibi mwa China. (Xinhua/Zhao Chenjie) |
Kikiwa kimejengwa kwenye Eneo linalojiendesha ya Kabila la Wamongolia la Bortala katika Mkoa wa Xinjiang, Kaskazini-Magharibi mwa China Xinjiang, Kivuko cha Alataw kinapakana na Nchi ya Kazakhstan. Tangu Mwaka 2011 wakati treni ya kwanza ya mizigo ya China-Ulaya ilipopitia hapo, kivuko hicho kimeshughulikia treni zaidi ya 30,000 zinazoelekea Asia ya Kati au Ulaya.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma