

Lugha Nyingine
Mabadiliko makubwa ya kiuchumi ya Kijiji cha Jinxing katika Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China
![]() |
Mfanyakazi akiandaa chakula cha mchana kwa ajili ya wazee katika mgahawa wa pamoja wa Kijiji cha Jinxing, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China, Novemba 8. |
Kijiji cha Jinxing katika Wilaya ya Kaihua ni kijiji kidogo kilichoko eneo la milima katika Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China. Katika kipindi cha Mwaka 2005, kijiji hicho kilitegemea mazingira mazuri ya ikolojia kujenga mandhari za kupendekeza, kujenga vivutio maalum, kuendeleza tasnia maalum na kusaidia wanakijiji kuongeza mapato yao.
Sasa hivi, kuna hoteli za kulala wageni jumla ya 23 katika Kijiji cha Jinxing, kikivutia watalii laki hivi kwa mwaka. Jumla ya mapato ya kiuchumi ya kijiji hicho imeongezeka kutoka chini ya yuani 10,000 mwaka 2006 hadi yuani milioni 2.245 mwaka 2022; mapato ya kila mwanakijiji kwa mwaka yameongezeka hadi yuani 42, 000, Kijiji hicho pia kimekadiriwa kuwa "Kijiji Muhimu cha Utalii Vijijini cha China".
Xinhua/Picha na Weng Xinyang
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma