Mandhari ya mji wa Wuzhen wa maji ulioko Mkoa wa Zhejiang, China (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 09, 2023
Mandhari ya mji wa Wuzhen wa maji ulioko Mkoa wa Zhejiang, China
Picha hii iliyopigwa Novemba 7, 2023 ikionyesha mandhari ya usiku ya mji wa Wuzhen wa maji ulioko Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China. (Xinhua/Zhang Yuwei)

Mkutano wa Kilele wa Wuzhen wa Mkutano wa Mtandao wa Intaneti Duniani Mwaka 2023 (WIC) umeanza Jumatano katika Mji wa Wuzhen, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China. Ukiwa na kaulimbiu inayosema "Kujenga Dunia ya Kidijitali iliyo Jumuishi na Himilivu Yenye Manufaa kwa Wote -- Kujenga Jumuiya yenye Mustakabali wa Pamoja katika Mtandao wa Intaneti," mkutano huo wa mwaka unahusisha mfululizo wa maonyesho, tuzo na matukio ya uzinduzi wa mradi, pamoja na majukwaa madogo 20.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha