Kampuni ya LEGO yatoa seti mpya za michezo iliyotengenezwa kwa kufuata utamaduni wa China kwenye maonyesho ya CIIE

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 09, 2023
Kampuni ya LEGO yatoa seti mpya za michezo iliyotengenezwa kwa kufuata utamaduni wa China kwenye maonyesho ya CIIE
Watembeleaji wa maonyesho wakitembea karibu na mdoli wa "Jinbao wa 3D", maskoti wa Maonyesho ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE), aliyejengwa kwa matofali ya michezo ya kampuni ya LEGO kwenye banda la kampuni hiyo kutoka Denmark wakati wa maonyesho ya CIIE mjini Shanghai, Mashariki mwa China, Novemba 9, 2019. (Xinhua/Liu Ying)

Kampuni kubwa ya kutengeneza midoli ya kuchezea watoto, LEGO imekuwa ikishiriki katika Maonyesho ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) kwa miaka sita mfululizo. Kampuni hiyo ya Denmark imetoa seti nne mpya za michezo siku ya Jumatatu kwenye maonyesho hayo. Imekuwa ikitoa bidhaa za michezo ya kuchezea watoto duniani katika kila maonyesho hayo ya kila mwaka, nyingi zikiwa zimetengenezwa kwa kufuata utamaduni wa China. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha