Maonyesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yatoa jukwaa kwa washiriki kuonyesha tamaduni tofauti

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 10, 2023
Maonyesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yatoa jukwaa kwa washiriki kuonyesha tamaduni tofauti
Watu wakitembelea banda la Nchi ya Visiwa vya Bahamas kwenye Maonyesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) mjini Shanghai, Mashariki mwa China, Novemba 8, 2023. (Xinhua/Zhang Jiansong)

Mbali na fursa za kibiashara, Maonyesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yaliyoanza mjini Shanghai tangu Novemba 5 pia yanatoa jukwaa kwa waonyeshaji bidhaa kutoka nchi na maeneo mbalimbali kuonyesha utamaduni wao wa kipekee kwa Dunia. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha