Waandishi wa Habari wa nchi mbalimbali watembelea Shenzhen, China: Bustani ya “Bahari ya Mawingu”

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 17, 2023
Waandishi wa Habari wa nchi mbalimbali watembelea Shenzhen, China: Bustani ya “Bahari ya Mawingu”
Bustani ya “Bahari ya Mawingu”. (Picha kwa hisani ya Bustani ya "Bahari ya Mawingu")

Katika eneo la Yantian la Mji wa Shenzhen wa China, kuna bustani inayoitwa “Bahari ya Mawingu” iliyopo sehemu ya mtelemko wa mlima yenye urefu wa mita 380 kutoka usawa wa bahari. Bustani hiyo ikiwa ni kivutio kipya cha mji huo kilichovutia ufuatiliaji mkubwa wa wakazi mtandaoni, kinawawezesha watembeleaji kutazama mandhari ya milima na bahari, au kufurahia kusoma vitabu kimyakimya kwenye “chumba cha kusoma vitabu angani”. Tarehe 16, Novemba, ujumbe wa waandishi wa habari wa nchi mbalimbali wa People’s Daily Online ulikwenda kwenye bustani hiyo, ili kuhisi maisha ya polepole ya Shenzhen.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha