Siku ya watoto duniani yaadhimishwa kwa maonyesho ya taa kote China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 21, 2023
Siku ya watoto duniani yaadhimishwa kwa maonyesho ya taa kote China
Picha hii ya angani iliyopigwa Novemba 20, 2023 ikionyesha Daraja la Pili la Mto Yangtze na mazingira yanayolizunguka yakiwa yamewashwa taa kuadhimisha Siku ya Watoto Duniani mjini Wuhan, katika Mkoa wa Hubei katikati mwa China. (Picha na Zhao Jun/Xinhua)

Miji katika mikoa na maeneo mbalimbali ya China iliwasha taa kwenye majengo na miundombinu alama nchini kote siku ya Jumatatu Novemba 20, 2023 kwa ajili ya kuadhimisha siku ya watoto duniani ambayo huadhimishwa duniani kote inapofika Novemba 20 ya kila mwaka.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha