

Lugha Nyingine
Katika Picha: Urejeshaji wa mazingira ya asili ya Mto Panxi wazaa matunda katika Mji wa Chongqing, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 21, 2023
![]() |
Watu wakitembea kando ya Mto Panxi katika Eneo la Yubei la Mji wa Chongqing, Kusini-Magharibi mwa China, Novemba 16, 2023. (Xinhua/Wang Quanchao) |
CHONGQING - Katika miaka ya hivi karibuni, Wilaya ya Yubei iliyoko katika Mji wa Chongqing, Kusini-Magharibi mwa China imeendelea kuhamasisha urejeshaji wa mazingira ya asili yanayozunguka Mto Panxi. Kiwango cha ubora wa maji ya mto huo kimeimarika kwa kiasi kikubwa na maeneo yanayozunguka mto huo yamekuwa kivutio kikubwa cha watalii.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma