Wilaya ya Huimin katika Mkoa wa Shandong nchini China yaendeleza tasnia ya wavu wa kamba

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 23, 2023
Wilaya ya Huimin katika Mkoa wa Shandong nchini China yaendeleza tasnia ya wavu wa kamba
Mwanamke akifanya kazi kwenye karakana ya kampuni moja katika Mji mdogo wa Jianglou ulioko wilaya ya Huimin katika Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China, Novemba 22, 2023. (Xinhua/Guo Xulei)

Wilaya ya Huimin katika Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China ina kampuni zaidi ya 1,300 zinazozalisha bidhaa za wavu na kamba, ambazo hutumika sana katika ujenzi, michezo na tasnia nyinginezo. Kuanzia Mwezi Januari hadi Oktoba mwaka huu, tasnia hii katika Huimin imeshaingiza mapato yenye thamani ya yuan zaidi ya bilioni 21.7 (sawa na dola bilioni 3.03 za Marekani).

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha