Ujenzi wa daraja winguni katika Mji wa Changzhou, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 29, 2023
Ujenzi wa daraja winguni katika Mji wa Changzhou, China

Eneo la ujenzi wa Daraja la Changtai katika Mto Yangtze (Changjiang) likiwa limefunikwa na mawingu na ukungu, na kulifanya kuwa na mandhari nzuri ya kushangza mjini Changzhou katika Mkoa wa Jiangsu, China, Tarehe 27, Novemba.

Inafahamika kuwa Daraja la Changtai katika Mto Yangtze (Changjiang) ni mradi muhimu katika ujenzi wa mfumo wa usafiri wa Ukanda wa Kiuchumi wa Mto Yangtze (Changjiang). Daraja hilo linaunganisha miji ya Changzhou na Taizhou. Ni nyenzo ya kuvuka mto inayounganisha barabara za mwendo kasi, reli zinazotoa huduma kati ya mji na barabara kuu za kawaida. (Picha na Chen Wei/vip.people.com.cn)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha