Habari picha ya eneo la maonyesho ya mnyororo wa kilimo cha kijani kwenye Maonyesho ya Mnyororo wa Ugavi ya China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 01, 2023
Habari picha ya eneo la maonyesho ya mnyororo wa kilimo cha kijani kwenye Maonyesho ya Mnyororo wa Ugavi ya China
Bidhaa za Kampuni ya Viwanda vya Kilimo na Biashara ya Chakula ya CP zikionekana katika picha kwenye eneo la maonyesho ya mnyororo wa kilimo cha kijani kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Mnyororo wa Ugavi ya China (CISCE) mjini Beijing, China, Novemba 30, 2023. (Xinhua/Cai Xiangxin)

Eneo la bidhaa za mnyororo wa kilimo cha kijani linajikita katika viunganishi muhimu, teknolojia na bidhaa muhimu za mnyororo wa viwanda vya kilimo, utafiti na uendelezaji wa mbegu, matumizi ya kilimo cha kisasa, mashine na vifaa vya teknolojia za kisasa za kilimo, bidhaa za kilimo zilizosindikwa, na huduma husika za mambo ya fedha na uchukuzi. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha