

Lugha Nyingine
Kazi ya kuchora picha za maua za Peony yachochea ustawi wa vijijini katika Mkoa wa Shandong, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 04, 2023
![]() |
Mkulima akichora picha ya maua ya Peony kwenye studio iliyoko Wilaya ya Juye ya Mji wa Heze, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China, Desemba 2, 2023. (Xinhua/Guo Xulei) |
Wilaya ya Juye iko katika maeneo ya Mji wa Heze, ambao ni mji unaojulikana kwa upandaji wa maua ya Peony katika Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China. Ikiwa ni urithi wa kitamaduni usioshikika wa mkoa huo, uchoraji wa picha za hali halisi za maua ya Peony haujawezesha tu kuongeza mapato ya wenyeji wa huko lakini pia umekuwa shughuli ya watu kutumia muda wao wa kujiburudisha kwenye jamii. Kuna watu zaidi ya 20,000 wanaoshiriki kwenye shughuli hiyo ya uchoraji wa picha kwa sasa.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma