Shughuli za ziada za Wanafunzi baada ya masomo zaleta burudani mbalimbali katika Wilaya ya Luodian mkoani Guizhou, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 05, 2023
Shughuli za ziada za Wanafunzi baada ya masomo zaleta burudani mbalimbali katika Wilaya ya Luodian mkoani Guizhou, China
Wanafunzi wa Shule ya Msingi No.2 wakifanya mazoezi ya kucheza ngoma ya kijadi ya simba ya China katika Wilaya ya Luodian, Mkoa wa Guizhou, China, Desemba 4.

Katika miaka ya hivi karibuni, Wilaya ya Luodian katika Eneo linalojiendesha la Makabila ya Wabuyi na Wamiao la Qiannan, Mkoa wa Guizhou, Kusini Mashariki mwa China limejikita zaidi katika kurithisha utamaduni wa kikabila na utamaduni wa kijadi, kuunganisha ngoma ya Lusheng ya Kabila la Wamiao, ngoma ya Bacao ya Kabila la Wabuyi, sanaa ya maandishi ya Lugha ya Kichina, utengenezaji wa batiki n.k. na "darasa la pili" la shule za msingi na sekondari na kuwezesha wanafunzi kuwa na shughuli mbalimbali za burudani baada ya masomo.

(Picha na YangYing/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha