

Lugha Nyingine
Eneo Maalum linalovutia mitaji ya kigeni la Fuling, Chongqing lachochea biashara ya nje ya China (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 06, 2023
![]() |
Picha hii iliyopigwa Desemba 4, 2023 ikionyesha kampuni ikizalisha bidhaa za kielektroniki katika Eneo Maalum linalovutia mitaji ya kigeni kwa ujumla la Fuling, Chongqing, Kusini-Magharibi mwa China. (Xinhua/Wang Quanchao) |
Eneo hilo Maalum limeendelea kuboresha mazingira yake ya biashara katika miaka iliyopita, na hivyo kuongeza uthabiti na ubora wa biashara ya nje ya China.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma