Habari Picha: Mandhari ya majira ya baridi katika sehemu mbalimbali za China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 06, 2023
Habari Picha: Mandhari ya majira ya baridi katika sehemu mbalimbali za China
Picha hii iliyopigwa kutoka angani Desemba 5, 2023 ikionyesha mandhari ya Kijiji cha Poshan kilichoko Wilaya ya Shexian ya Mji wa Huangshan, Mkoa wa Anhui, Mashariki mwa China. (Picha na Fan Chengzhu/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha