

Lugha Nyingine
Idadi ya panda waliozaliwa kwa njia ya kupandikiza mimba katika Kituo cha Utafiti wa Panda cha Qinling nchini China yafikia 49 (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 07, 2023
Kwa mujibu wa habari iliyotolewa siku ya Jumatano, Desemba 6, na Kituo cha Utafiti wa Panda cha Qinling (Kituo cha Uokoaji wa Wanyamapori Adimu cha Mkoa wa Shaanxi) nchini China, kituo hicho kimepata mafanikio yenye matunda mengi katika uzalianaji wa panda kwa kupandikiza mimba Mwaka 2023. Kwa jumla vitoto 7 vya panda vimezaliwa kwa njia ya kupandikiza mimba, ikiwa ni pamoja na panda madume 5 na majike 2. Kwa sasa, idadi ya panda wa kituo hicho waliozaliwa kwa kupandikiza mimba imefikia 49.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma