Madaraja maarufu yaleta ukuaji wa uchumi, vivutio vya utalii katika Mkoa wa Guizhou, Kusini Magharibi mwa China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 07, 2023
Madaraja maarufu yaleta ukuaji wa uchumi, vivutio vya utalii katika Mkoa wa Guizhou, Kusini Magharibi mwa China
Watalii wakipiga picha kwenye eneo la huduma la sehemu ya kutazama mandhari ya “Daraja la Angani” katika Wilaya ya Pingtang, Mkoa wa Guizhou, Kusini-Magharibi mwa China, Desemba 6, 2023. (Xiao Wei/Xinhua)

Kutokana na idadi kubwa ya madaraja, usanifu wao wa aina mbalimbali, na teknolojia ngumu zinazotumika katika ujenzi wa madaraja hayo, Mkoa wa Guizhou ulioko Kusini-Magharibi mwa China unajulikana kama "makumbusho ya madaraja ya Dunia." Kwa miaka mingi, mkoa huo umeendeleza shughuli za utalii kutokana na vivutio vya madaraja hayo na kuongeza ukuaji wa uchumi wake.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha