Mkutano wa Dunia wa 5G waanza mjini Zhengzhou, Mkoa wa Henan katikati mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 07, 2023
Mkutano wa Dunia wa 5G waanza mjini Zhengzhou, Mkoa wa Henan katikati mwa China
Mtembeleaji wa maonyesho akipiga picha kwenye Mkutano wa Dunia wa 5G mjini Zhengzhou, Mkoa wa Henan katikati mwa China, Desemba 6, 2023. (Xinhua/Hao Yuan)

Mkutano wa Dunia wa 5G umeanza rasmi siku ya Jumatano katika Mji wa Zhengzhou ulioko Mkoa wa Henan katikati mwa China. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha