Mkutano wa Viwanda vya Teknolojia ya Akili Bandia Duniani Mwaka 2023 wafunguliwa Nanjing, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 07, 2023
Mkutano wa Viwanda vya Teknolojia ya Akili Bandia Duniani Mwaka 2023 wafunguliwa Nanjing, China
Watembeleaji wa maonyesho wakitembelea eneo la mabanda ya roboti za viwandani, tarehe 6, Desemba.

Mkutano wa Viwanda vya Teknolojia ya Akili Bandia Duniani Mwaka 2023 umefunguliwa mjini Nanjing, China siku ya Jumatano, Desemba 6. Kwenye mkutano huo maonyesho ya ana kwa ana ukumbini yamefanyika, yakivutia ushiriki wa kampuni zaidi ya 390 kutoka nchi na maeneo 10, zikionesha mafanikio mapya zaidi, teknolojia mpya na bidhaa bora katika nyanja ya viwanda vya teknolojia ya akili bandia.

(Picha na Fang Dongxu/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha