

Lugha Nyingine
Kazi ya chai ya Liubao yastawi katika Mji wa Wuzhou, Kusini mwa China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 08, 2023
Chai ya Liubao, ambayo ni chai nyeusi ya China inayojulikana kwa harufu yake nzuri na ya kudumu, na inayotumika kwa tiba, inajivunia kuwa na historia ya zaidi ya miaka 1,500. Ukiwa ni maarufu kwa kutengeneza chai hiyo ya Liubao, Mji wa Wuzhou wa Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, Kusini mwa China una ekari zaidi ya 310,000 (kama hekta 20,667) za mashamba ya chai, na thamani yake inazidi yuan bilioni 16 (kama dola bilioni 2.24).
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma