

Lugha Nyingine
Habari Picha ya mashindano ya kumquat katika Wilaya ya Rong'an, Mkoani Guangxi, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 11, 2023
Upandaji wa mimea ya matunda ya kumquat, ambayo huitwa kuwa ni machungwa ya dhahabu umekuwa biashara yenye pesa nyingi taslimu kwa wakulima wa Wilaya ya Rong'an, iliyoko Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, Kusini mwa China. Jumla ya ekari 221,000 (kama hekta 14,733) za miti ya kumquat iliyopandwa katika wilaya hiyo mwaka huu inatarajiwa kutoa tani 250,000 za matunda hayo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma