Katika picha: Eneo la ujenzi wa daraja kuu la Xijin Yujiang kwenye barabara kuu ya Shanglin-Hengzhou Kusini mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 11, 2023
Katika picha: Eneo la ujenzi wa daraja kuu la Xijin Yujiang kwenye barabara kuu ya Shanglin-Hengzhou Kusini mwa China
Wafanyakazi wakifanya kazi katika eneo la ujenzi wa daraja kuu la Xijin Yujiang kwenye barabara kuu ya Shanglin-Hengzhou katika Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, Kusini mwa China, Desemba 10, 2023. (Xinhua/Lu Boan)

Pande mbili za daraja kuu la Xijin Yujiang lenye urefu wa Mita 1, 190 linalojengwa kwenye barabara kuu ya Shanglin-Hengzhou katika Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, Kusini mwa China zimeunganishwa pamoja siku ya Jumapili.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha