Tamasha la "Maua Meupe" lasherehekewa nchini Romania ili kuwasilisha kwa umma mila za Krismasi na Mwaka Mpya

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 11, 2023
Tamasha la
Wasanii wa bendi ya nyimbo na ngoma ya kijadi wakiimba kwenye tamasha la mila na desturi la "Maua Meupe" katika Jumba la Makumbusho la Kijiji huko Bucharest, Mji Mkuu wa Romania, Desemba 10, 2023. Tamasha la "Maua Meupe" ambalo hufanyika kila mwaka nchini Romania kwa lengo la kuwasilisha kwa umma jadi na utamaduni wa Krismasi na Mwaka Mpya limefanyika siku ya Jumapili, Desemba 10 katika Jumba la Makumbusho la Kijiji mjini Bucharest. (Picha na Cristian Cristel/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha