Sherehe yafanyika kuadhimisha miaka 60 ya uhuru wa Kenya (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 13, 2023
Sherehe yafanyika kuadhimisha miaka 60 ya uhuru wa Kenya
Watu wakifanya maonesho wakati wa sherehe ya kuadhimisha miaka 60 ya uhuru wa Kenya kwenye Bustani ya Uhuru mjini Nairobi, Kenya, Desemba 12, 2023.

Siku ya Jamhuri ya Kenya, au siku ya uhuru, ambayo husherehekewa tarehe 12, Desemba ya kila mwaka, ni moja ya sikukuu muhimu zaidi za taifa nchini Kenya. Kenya ilijipatia uhuru wake kutoka Uingereza Desemba 12, 1963.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha