Maonyesho ya 26 ya Biashara ya Kimataifa ya Majira ya Baridi ya Mazao ya Kilimo ya tropiki ya China (Hainan) yaanza (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 15, 2023
Maonyesho ya 26 ya Biashara ya Kimataifa ya Majira ya Baridi ya Mazao ya Kilimo ya tropiki ya China (Hainan) yaanza
Picha hii iliyopigwa Desemba 14, 2023 ikionyesha banda la Cambodia, nchi mwalikwa wa heshima wa Maonyesho ya 26 ya Biashara ya Kimataifa ya Majira ya Baridi ya Mazao ya Kilimo ya Tropiki ya China (Hainan) yanayofanyika mjini Haikou, Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China. (Xinhua/Guo Cheng)

Yakiwa yanachukua eneo lenye ukubwa wa mita za mraba takriban 80,000, Maonyesho ya 26 ya Biashara ya Kimataifa ya Majira ya Baridi ya Mazao ya Kilimo ya Tropiki ya China (Hainan) yameanza rasmi mjini Haikou katika Mkoa wa Hainan siku ya Alhamisi. Maonyesho hayo ya siku nne yanaonesha zaidi matunda na mboga mboga, nafaka na mafuta, mazao ya majini, na biashara ya kielektroniki ya kuvuka mpaka. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha