

Lugha Nyingine
Pengwini kutoka bustani ya wanyama wa majini ya Nanjing, China wapanda ukuta wa mji wa kale “kutazama” mandhari ya theluji
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 19, 2023
Pengwini wa Gentoo wanaoitwa “Ping Ping” na “An An” waliozaliwa kupitia upandikizaji wa mimba kutoka Bustani ya Wanyama wa Majini ya Nanjing walifuata wahifadhi wao kupanda Ukuta wa Mji wa kale wa Enzi ya Ming (B.K. 1368―1644) mjini Nanjing, Mkoa wa Jiangsu wa China tarehe 18, Desemba, ambapo “walifurahia kutazama” mandhari ya theluji na kupigwa picha nzuri. Inafahamika kuwa Pengwini wa Gentoo huishi katika sehemu yenye baridi kali duniani, na hali ya hewa ya siku hizi ya Nanjing inawafaa kutembea nje.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma