

Lugha Nyingine
Barabara Kuu ya Guanzhuang-Xinhua katika Mkoa wa Hunan nchini China yaanza kutumika rasmi
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 20, 2023
![]() |
Picha hii iliyopigwa kutoka angani Desemba 19, 2023 ikionyesha eneo la huduma kando za barabara kuu ya Guanzhuang-Xinhua katika Mkoa wa Hunan, katikati mwa China. (Xinhua/Chen Sihan) |
Barabara Kuu ya Guanzhuang-Xinhua, inayounganisha miji ya Huaihua, Changde, Yiyang na Loudi, katika Mkoa wa Hunan, katikati mwa China imeanza kutumika rasmi siku ya Jumanne. Barabara hiyo ina urefu wa kilomita 76.581 na jumla ya madaraja 106 na mahandaki 22.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma