

Lugha Nyingine
Wavuvi wafurahia mavuno ya samaki katika Mkoa wa Jiangsu, China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 28, 2023
Wakati mwaka mpya unapokaribia kuwadia, shughuli ya uvuvi wa majira ya baridi kwenye Bwawa la Beishan lenye mazingira mazuri ya kiikolojia katika Mji wa Jurong, Mkoa wa Jiangsu, Mashariki mwa China, zimeanza rasmi. Lengo kuu la shughuli hiyo ni kuvua samaki wakubwa, ambao watakidhi mahitaji ya soko la wakati wa likizo ijayo ya mwaka mpya.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma