“Dragoni Mkubwa” aonekana kwenye Hekalu la Yuyuan, Shanghai na kuleta shamrashamra ya mwaka mpya wa dragoni

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 28, 2023
“Dragoni Mkubwa” aonekana kwenye Hekalu la Yuyuan, Shanghai na kuleta shamrashamra ya mwaka mpya wa dragoni
Picha iliyopigwa tarehe 24, Desemba ikionesha watalii na wakazi wa Shanghai wakitazama taa ya kisanaa ya mnyama dragoni na kuomba baraka kwa mwaka mpya ujao kwenye hekalu la Yuyuan huko Shanghai, China, ambalo limejaa mandhari na shamrashamra za mwaka mpya wa dragoni kwa kalenda ya jadi ya China. (Picha na Yan Daming/vip.poeple.com.cn)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha