Maeneo ya kufundishia kwa muda yaanza madarasa katika mji uliokumbwa na tetemeko la ardhi wa Jishishan, China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 28, 2023
Maeneo ya kufundishia kwa muda yaanza madarasa katika mji uliokumbwa na tetemeko la ardhi wa Jishishan, China
Wanafunzi wakihudhuria darasani kupitia moja kwa moja mtandaoni kwenye darasa la muda katika Mji wa Liugou wa Wilaya inayojiendesha ya Makabila ya Wabon’an, Wadongxiang na Wasalar ya Jishishan, Mkoa wa Gansu, Kaskazini-Magharibi mwa China, Desemba 27, 2023. (Xinhua/Fan Peishen)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha