

Lugha Nyingine
Mkoa wa Heilongjiang, kivutio maarufu kwa utalii wa majira ya baridi nchini China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 02, 2024
![]() |
Wahudumu wakipunga mikono kwa watalii kwenye eneo lenye mandhari nzuri la Kisiwa cha Sun mjini Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, Kaskazini Mashariki mwa China, Januari 1, 2024. (Xinhua/Zhang Tao) |
Mkoa wa Heilongjiang ulioko Kaskazini-Mashariki mwa China una rasilimali nyingi za barafu na theluji, na hivyo kuufanya kuwa kivutio maarufu cha utalii wa majira ya baridi nchini China na umevutia watalii wengi kutoka ndani na nje ya nchi hiyo wakati wa likizo ya Mwaka Mpya.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma