Maonyesho ya 5 ya Marathon ya China yaanza mjini Xiamen

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 05, 2024
Maonyesho ya 5 ya Marathon ya China yaanza mjini Xiamen
Meneja wa mbio za barabarani wa Shirikisho la Riadha la Kimataifa (IAAF) Alessio Punzi (kushoto) na Bob Ramsak, mkuu wa kitengo cha maendeleo endelevu katika Shirika la Riadha la Dunia, wakitembelea Maonyesho ya 5 ya Marathon ya China mjini Xiamen, Mkoa wa Fujian, Kusini Mashariki mwa China, Januari 4, 2024. (Xinhua/Wei Peiquan)

Maonyesho ya 5 ya Marathon ya China ya siku tano, pia Maonyesho ya Tasnia ya Mbio za barabarani ya Mkoa wa Fujian Mwaka 2024, yameanza Alhamisi katika mji wa pwani wa Xiamen. Yakichukua eneo lenye ukubwa wa mita za mraba 26,000, maonyesho hayo yamevutia kampuni zipatazo 130 kuonyesha bidhaa.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha