Polisi na wakazi wakaribisha pamoja Siku ya Polisi ya Umma ya China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 08, 2024
Polisi na wakazi wakaribisha pamoja Siku ya Polisi ya Umma ya China
Watoto wakijaribu kuendesha pikipiki za polisi kwenye Uwanja wa Wanxianghui wa Mji waYantai, Mkoa wa Shandong, Januari 7. (Picha na Tang Ke/Xinhua)

Siku za hivi karibuni, idara za Polisi za maeneo mbalimbali zimefanya shughuli za kufunguliwa kwa kituo cha Polisi, kufanya mawasiliano kati ya wakazi na polisi, kuwaonyesha watu silaha na zana za polisi, kueneza ujuzi wa mambo ya polisi na sheria na kanuni za kawaida ili kukaribisha Siku ya Nne ya Polisi ya Umma ya China ya Januari 10.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha