Reli ya kwanza ya mwendokasi ya China kuendeshwa kwa mfumo wa PPP yaadhimisha miaka 2 ya kazi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 09, 2024
Reli ya kwanza ya mwendokasi ya China kuendeshwa kwa mfumo wa PPP yaadhimisha miaka 2 ya kazi
Abiria wakiingia ndani ya Kituo cha Reli cha Xinchang mjini Shengzhou, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China, Januari 8, 2024. (Xinhua/Huang Zongzhi)

Reli ya kati ya miji ya Hangzhou, Shaoxing na Taizhou, ambayo ni reli ya kwanza ya mwendo kasi nchini China inayoendeshwa kwa ubia wa mtaji wa kibinafsi na serikali (PPP), imeadhimisha miaka yake miwili tangu kuanza kufanya kazi siku Jumatatu. Ikiwa na mwendo kasi wa kilomita 350 kwa saa, reli hiyo imewasafirisha abiria milioni 20 kwa jumla tangu ilipozinduliwa. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha