Sehemu ya pili ya mradi wa jengo la Kituo cha Mambo ya Fedha cha Nanjing wawekewa vifuniko

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 18, 2024
Sehemu ya pili ya mradi wa jengo la Kituo cha Mambo ya Fedha cha Nanjing wawekewa vifuniko
Picha iliyopigwa tarehe 16, Januari 2024 ikionesha eneo la ujenzi wa sehemu ya pili ya mradi wa jengo la Kituo cha Mambo ya Fedha cha Nanjing (sehemu ya Mashariki) mjini Nanjing, Mkoa wa Jiangsu, Mashariki mwa China.

Muundo mkuu wa sehemu ya pili ya mradi wa jengo la Kituo cha Mambo ya Fedha cha Nanjing (sehemu ya Mashariki) umewekewa vifuniko siku ya Jumanne. Ukiwa na eneo la jumla la maghorofa lenye ukubwa wa mita za mraba 429,000, mradi huo umesanifiwa kuwa jengo la mambo mengi likiwa na kazi za ofisi, huduma za ukarimu, makazi na maeneo ya kibiashara. (Xinhua/Li Bo)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha