Watu washerehekea Sikukuu ya Timket huko Addis Ababa, Ethiopia

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 22, 2024
Watu washerehekea Sikukuu ya Timket huko Addis Ababa, Ethiopia
Watu wakisherehekea Sikukuu ya Timket, ambayo ni sikukuu ya kila mwaka ya Ubatizo ya Ethiopia, mjini Addis Ababa, Ethiopia, Januari 20, 2024. (Xinhua/Michael Tewelde)

Mamilioni ya watu Jumamosi walisherehekea sikukuu ya Timket, ambayo ni sikukuu ya kila mwaka la Ubatizo ya Ethiopia, kote nchini Ethiopia, huku maafisa wa serikali na viongozi wa kidini wakihimiza waumini kudumisha amani na shughuli za sikukuu hiyo ambazo ni sehemu ya urithi wa utamaduni usioshikika wa Dunia.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha