Tamasha la Uvuvi wa Majira ya Baridi lafunguliwa kwenye Ziwa Qinhu huko Taizhou, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 29, 2024
Tamasha la Uvuvi wa Majira ya Baridi lafunguliwa kwenye Ziwa Qinhu huko Taizhou, China
Picha iliyopigwa tarehe 27, Januari ikionesha watu wakicheza ngoma ya kijadi ya dragoni katika Tamasha la Uvuvi wa Majira ya Baridi kando ya Ziwa Qinhu lililoko eneo la Jiangyan, Mji wa Taizhou, katika Mkoa Zhejiang, China.

Tarehe 27 mwezi huu, Tamasha la Uvuvi wa Majira ya Baridi la Ziwa Qinhu lilifunguliwa kwenye ziwa hilo lililoko katika Eneo la Jiangyan la Mji wa Taizhou, Mkoa wa Jiangsu wa China. Burudani za kijadi na maonyesho ya desturi za uvuvi wa kijadi na shughuli nyingine mbalimbali zilifanyika pia hapo hapo, na “Samaki Mfalme wa Ziwa Qinhu” aliteuliwa na kutangazwa rasmi.

Wakati mwaka mpya wa jadi wa China unapokaribia, Ziwa Qinhu limeingia kwenye msimu wa uvuvi wa majira ya baridi, na wavuvi wanafanya uvuvi kwa juhudi ili kukidhi mahitaji ya soko wakati wa sikukuu.

(Picha na Tang Dehong/Zilichapishwa na Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha