

Lugha Nyingine
Utalii katika sehemu za makabila wastawisha Sanjiang Kusini mwa China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 30, 2024
Mwaka Mpya wa Jadi wa China unapokaribia, wafanyakazi katika maeneo yenye mandhari nzuri na wakazi katika vijiji vya Sanjiang, China wana pilika nyingi za kufanya mazoezi ya kuimba nyimbo na kucheza ngoma ili kukaribisha wageni.
Katika miaka ya hivi karibuni, Sanjiang imekuwa ikihimiza maendeleo unganishi ya shughuli za utamaduni na utalii. Sehemu hiyo ya Sanjiang ilivutia watalii milioni 9.01 mwaka jana, ikiingiza mapato ya yuan bilioni 9.6 (kama dola bilioni 1.34 za Marekani).
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma