

Lugha Nyingine
Shughuli za kitamaduni zafanyika kwenye treni ya mwendokasi kwa kukaribisha Mwaka mpya wa Jadi wa China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 30, 2024
![]() |
Wafanyakazi wakiimba mashairi kwenye treni ya mwendokasi Namba G7575, Januari 29, 2024. (Xinhua/Ji Chunpeng) |
Mfululizo wa shughuli za kitamaduni, kama vile maonyesho ya opera na onyesho la kukata karatasi, yamefanyika kwenye treni ya mwendokasi Namba G7575 ya China, siku ya Jumatatu.
China imekuwa na pilika pilika za kila mwaka za usafiri wa watu wengi zaidi kuanzia Januari 26. Pilika hizo za usafiri wa watu kwa siku 40, ambazo pia zinajulikana kama "chunyun" kwa Lugha ya Kichina, zitashuhudia mamia ya mamilioni ya watu wakirejea nyumbani na kujumuika na familia zao na marafiki wakati wa Likizo ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma