Picha: Mandhari ya Ziwa Yundang la Xiamen, China katika ukungu

By Wu Chaolan, Zhao Jian (Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 01, 2024
Picha: Mandhari ya Ziwa Yundang la Xiamen, China katika ukungu

Ziwa Yundang lipo katika Mji wa Xiamen, Mkoa wa Fujian wa China. Ziwa hilo linapita karibu kisiwa kizima cha Xiamen, na kisiwa kidogo katikati yake ni kama lulu ya kung’aa iliyopachikwa kwenye Ziwa Yundang.

Xiamen ina hali ya hewa ya unyevunyevu wa kiwango cha juu, na Ziwa Yundang baada ya mvua kunyesha, linawasilisha mandhari kama ndoto kwenye ukungu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha