Shamrashamra za mwaka mpya wa jadi wa China zazidi kuongezeka huko Xiamen, China

By Wu Chaolan, Zhao Jian (Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 01, 2024
Shamrashamra za mwaka mpya wa jadi wa China zazidi kuongezeka huko Xiamen, China

Wakati mwaka mpya wa jadi wa China unapokaribia, Mji wa Xiamen, Mkoa wa Fujian wa China unazidi kuwa na shamrashamra nyingi.

Mwaka ujao kwa kalenda ya kilimo ya China utakuwa mwaka wa dragon. Katika geti la Bustani ya Ardhi Oevu ya Wuyuanwan, mapambo ya mfano wa mnyama Dragoni mrefu na mwenye kuvutia yamewashangaza wakazi na watalii. Mwili wa dragoni huyo umeundwa na taa nyekundu za kijadi, ambazo ni za kipekee.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha