"Tamasha la Kijiji" lafanyika Guangxi, China kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi unaowadia

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 04, 2024
Watu wakifanya maonesho ya michezo ya Sanaa kwenye "tamasha la kijiji" katika eneo la kivutio cha utalii katika Wilaya inayojiendesha ya Kabila la Wadong ya Sanjiang ya Mji wa Liuzhou, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, Kusini mwa China, Februari 3, 2024. (Xinhua/Lu Boan)

Watu zaidi ya 1,200 kutoka vikundi 22 vya maonesho ya michezo ya Sanaa kote mkoani Guangxi wameshiriki katika "tamasha la kijiji" kusherehekea Mwaka mpya wa jadi wa China. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha