"Treni za mwendo wa polepole" zawezesha watu kufanya manunuzi ya bidhaa za Mwaka Mpya wa Jadi wa China katika Mkoa wa Gansu

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 06, 2024
Picha hii iliyopigwa Februari 4, 2024 ikionyesha abiria wakiwa wamepanda treni No. 7503 katika Mkoa wa Gansu, Kaskazini Magharibi mwa China. (Xinhua/Chen Bin)

LONGXI - "Treni za mwendo wa polepole" za No. 7503 na No. 7504 zinaendeshwa kati ya Miji ya Tianshui na Longxi mkoani Gansu, kaskazini magharibi mwa China. Wakazi wa maeneo hayo sasa wanasafiri kwa treni hizo kati ya miji yao midogo na maeneo ya mijini kufanya manunuzi ya bidhaa kwa ajili ya maandalizi ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha